Karibuni Chakula kwa Mboga mnayodhani ni sumu kwenu

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
DSCN4767.JPG
DSCN4767.JPG
 
wallllahi pale unapomaliza kula ndio hapo hapo mwenyezi Mungu anaanza kukulaani kwa laana kubwa sana yani
 
wallllahi pale unapomaliza kula ndio hapo hapo mwenyezi Mungu anaanza kukulaani kwa laana kubwa sana yani

sasa atakulaani kwa kosa lipi
yeye amesema hata ktk vitabu vyake kuwa Ametuumba sisi tukiwa ni wenyemamlaka juu ya wadudu na wanyama wote?

Na hawa jamaa hapa sijawahi sikia eti mtu kagingwa na nyoka wala chatu,nge wala tandu,konokono wala mbwa,vyote ni peleka pwani,na maendeleo yao si ya kitoto,wapo juu kweli kwa kutoacha kitu nyuma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom