Karibuni CCM

Nimelazimika kukushangaa. CCM miaka yote ina katiba, ilani hata mikakati inayosimamiwa na dola na kusahau wananchi ambao hawana habari na katiba, ilani(kwa maana ya ahadi hewa zisizo na rasilimali za utekelezaji hasa rasilimali watu) na mikakati hiyo. Ingekuwa ina nia ya kukabili upinzani ingeruhu democrasia ichukue mkondo wake iruhusu hata wasio na chama washiriki kwenye siasa wa kudhihirisha mwelekeo mbadala wa siasa. Maana yake ni kuwa na katiba ya nchi ya kidemocrasia.

Nakuarifu mimi nilikuwa mwana CCM mara ya mwisho mwaka 1983/4 kilipobinafsishwa. Ahsante
 

CCM- Chukua Chako Mapema
CCM-Chama Cha Mafisadi

Kihene hii ni kweli?
 
Nakuarifu mimi nilikuwa mwana CCM mara ya mwisho mwaka 1983/4 kilipobinafsishwa. Ahsante

Kwa hiyo na wewe ushiriki katika kukibinafsisha? sasa unakaribishwa tena kukirudisha kwa wananchi ukikataa basi wewe ni FISADI mkubwa ulikifasidi chama na bado unaendelea kukifasidi.
 
Ndugu wapinzani, hivi mnakumbuka upinzani ulianza mwaka gani? Miaka yoote hiyo inamaanisha upinzani ulikuwa ndo unajifunza kazi?

Kwanini nifuate vyama ambavyo bado vinatambaa? Wakati CCM ipo?
 
CCM- Chukua Chako Mapema
CCM-Chama Cha Mafisadi

Kihene hii ni kweli?


Wivu tu ndio unawaongoza wapinzani. Hii yote ni propaganda za wapinzani ambazo hazina maana. Wao wapinzani waseme ni lipi jipya wanalo na sio blah blah zao za kila siku.

CCM OYEEEEEEEEEEEEE
 


Demokrasia ipi hiyo? Kama kulipwa ili muwapinge CCM mnalipwa, au wabunge wenu hawasemi? Ni Serikali ipi inawapa mshahara wabunge wenu?
 
Umefanikiwa kuamsha hisia za wanaharakati na wapiganaji. Lengo lako limetimia. Wote wana hasira juu yako,viongozi wako, thread yako na chama chako kwa sababu vyote hivyo vimejaa WIZI MTUPU!

Kumbe mlikuwa mmelala, sasa mkipata nchi si mtaiuza kabisa.

Wivu kitu kibaya sana.

Wapinzani hawana jipya zaidi ya maneno matupu. Hebu tuelezi wabunge wenu ni lipi jipya wamefanya kwenye majimbo yao?
 


Hivi, kwanini wapinzani wanapenda kuzungumza kwa kutumia vichwa vya habari?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…