Karibuni bia.

Waungwana wanasema huko ni kujenga nchi, mimi najengea apa uhuru peak karibu nawe...😕😕😱
 
Jamani hakuna aliyepo hapa Makumba Bay.......tubomoe Zanzi.........
 
Tatizo vinywaji tunavyokunywa wengine havihitaji company
 
mi niko nagonga kiroba cha konyagi hapa nasubiria kitimoto nusu.. kuna ka pub hapa karibu na sayansi.. ngoja nitoke nje niangalie jina
 
Tatizo vinywaji tunavyokunywa wengine havihitaji company

Mkuu ni vinywaji gani hivyo? Maana iwe nyagi, grants, vodka, bier, wine, na hata tikisa kampani ni ya msingi....😕
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…