Mpwa hiii kitu ukienda pale kwa Rajju dah balaaa wazenj wanajua kurusha roho kisha pitia pale Wajela jela napo noma kinoma karibu na nyumbani kwa Mzee Mwinyi unaweza ukatoka kidogo mpaka pale makabulini ukakamata mzigo wa kona ukaenda kujirusha pale Gymkana napo papo poa sana.
Week end njema.