Hivi huyu naye kanunua gari amepata wapi hela? halafu si nilisikia yule mama wa nyumba ya tatu alikuwa na vyeti feki mbona nimemuona asubuhi asubuhi anapanda gari kavaa kama anaenda kazini? pia nilisahau yule kijana wa kwa mzee Juma hivi siku hizi anamchukua Bi Chaurembo?
Wallahi Yanga hawawezi kuchukua kombe, iwe isiwe Simba watachukua si unaijua kamati ya ufundi ya Simba.