Kwanini SII hao akina kinuji, Comte, Yehodava &co🤔Asante kwa ushauri
Ziwa wengi ni CHADEMAAcha uongo Mwanza hakuna ACT.pia ACT haina wanachama bali inawafuasi wa Maalimu Sharif siku wakianzisha au wakihamia chama kingine watabaki na nini?
Labda Kama Kuna Kanda ya ziwa kusini,
Lakini Mwanza,Mara,Tabora ,Shinyanga Kigoma,na Kagera haipo kabisa.
Vichaa nao wana haki zao kama weweNasema kwa sababu
1. Mama anamnanga JPM kila jukwaa . Watu hawamtaki huku.
Wamediriki kuwaita Sukuma gangi
2. Mbowe ameonesha waziwazi kuwa wachaga walitengwa na JPM.
Hivyo wanaona CHADEMA /Mbowe wakichukua dola watawatenga kanda ya ziwa.
CCM NA CHADEMA Hawana chao tena huku.
Nafasi ya ACT- Wazalendo sasa
Ahsante.
View attachment 2181695
Atawauza kwa ndugu zake kina NkurunzinzaMchukueni dalali mwone atakavyo wauza Kwa majirani zetu,kama utakuwa Uganda ,au Kenya au Rwanda,au Burundi au Kongo mtajijua wenyewe.[emoji12]
Mwambia huyo MrundiAcha uongo Mwanza hakuna ACT.pia ACT haina wanachama bali inawafuasi wa Maalimu Sharif siku wakianzisha au wakihamia chama kingine watabaki na nini?
Labda Kama Kuna Kanda ya ziwa kusini,
Lakini Mwanza,Mara,Tabora ,Shinyanga Kigoma,na Kagera haipo kabisa.
Natoa hoja kwa hojaVipi ungetoa hoja?