Karibu Venance Mabeyo, karibu sana kamanda

Karibu Venance Mabeyo, karibu sana kamanda

Mkuu na wewe uko Kurugenzi ya mawasiliano Jumba Jeupe nini?
Itakuwa, Wanajeshi wanateuliwa kuwa wakuu wa mikoa/wilaya na wakati wakuu wa mikoa na wilaya ni wajumbe wa kamati ya siasa ya mkoa au wilaya, hapo hakuna siasa?
 
Mimi ninachoomba jeshi letu liwe politically neutral, lisikubali kutumiwa kisiasa na mtu yoyote yule, na ikibidi kutumia nguvu basi lisitumie nguvu kwa raia wenye hasira kama ambazo lingetumia kwa wavamizi.
 
Kwa mara ya kwanza naona mkuu wa jeshi anatuliza wananchi.mmmhmmh nimeanza kuogopa hapa
 
Chief of Military Intelligence. Kunadhimu jeshi ambapo hata Mwamunyange alipita hapo kabla ya kuwa CDF
Hakuna alie na mashaka na kamanda yuko vizuri na timamu kijeshi, mleta mada anaomba au anmshauri akae mbali na wanasiasa wataharibu,amtizame siro avyohangaika sasa akitaka kumsaidia amsaidia kwa siri cha msingi warejeshe imani ya wananchi kwa chombo chao.
 
Back
Top Bottom