wagonjwa wa kiume lakiniWagonjwa watatililika apo...
Njoo nikutibuNaumwa mapaja
Njoo nikutibu
Mutu ya Kongo vipi?
Nashukuru mkuu tiba gani zinapatikana hapo.
Duh hii picha imenikumbusha nilienda mahakamani "kusatifai" vyeti aiseee hakim wa kike alivyokuwa amevaa na kukaa ni kama mrembo aliyekaa hapo juu. Nikawa namchungulia kwa kuibia nikiogopa kuwa kama angeniona basi angetoa amri polisi wa mahakama niwekwe ndani kwa masaa.