teachernoel
Member
- Jun 1, 2016
- 44
- 3
- Thread starter
-
- #21
Haya banadripe kwa hektari moja inategemea na unaitaji single line.au dable kama ni single itagarimu roller mbili na kama ni duble itagarimu roller 4 kwa maelekezo zaidi namba hizo hapo juu.
Ok.mpaka kesho.nitato kotesheni ya heka moja kuanzia matirio mpaka kufunga jumla inagarimu kiasi gani stay turn asante kwa hiko.Jamaa amegoma kutoa mchanganuo wa bei.
Au hawezi kutoa business profile ili tufanye reference kwa liowafanyia kazi.
Anataka kila mteja apigwe bei yake (huyu laki 5, huyu milioni 2) kwa factors zile zile.
Hizi biashara za Kiswahili.
dripe kwa hekari moja inategemea na unaitaji single line.au dable kama ni single itagarimu roller mbili na kama ni duble itagarimu roller 4 kwa maelekezo zaidi namba hizo hapo juu.
dripe kwa hekari moja inategemea na unaitaji single line.au dable kama ni single itagarimu roller mbili na kama ni duble itagarimu roller 4 kwa maelekezo zaidi namba hizo hapo juu.
Bora huyu alieweka bei unajua unampigia mtu sim ukiwa na bei tayari kichwanimcheki na huyu jamaa anafungua robo eka kwa laki 2 namba yake ni 0688246998
Map hii ni mbolea inayo yeyuka ambayo inatumika special kwenye drip. Kirefu chake inaitwa MONO AMONIA PHOSPHATE Au M. A. P. NASHUKURU.Map ndio mbolea gani hiyo mkuu?