Karibu ujipatie kaunda suit

Karibu ujipatie kaunda suit

enoc seth

Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
56
Reaction score
15
Karibu ujipatie kaunda suit na senator suit kwa bei rahisi kabisa kutoka kwangu fundi wako ENSETH TAILORING.(Bei ni Elf 55)kwa kitambaa super no 1 na 35 kwa namba 2.karibu sana na natuma mikoa yote.

Mawasiliano
0756058565

Pia kwa ajili ya sherehe mbalimbali karibu nikuhudumie
_20210822_113118.JPG
 
Karibu ujipatie kaunda suit na senator suit kwa bei rahisi kabisa kutoka kwangu fundi wako ENSETH TAILORING.(Bei ni Elf 55)kwa kitambaa super no 1 na 35 kwa namba 2.karibu sana na natuma mikoa yote.
Mawasiliano
0756058565
Pia kwa ajili ya sherehe mbalimbali karibu nikuhudumieView attachment 1934925
View attachment 1934927View attachment 1934926
Kama hiyo ulioivaa ndio mfano wa jinsi unavyoshona basi sijaona nguo, Ila kwa bei hiyo sawa tu wasukuma Karibuni shemeji zangu
 
Endelea kujiboresha zaid na zaidi!!!Una kipaji lakini pambanaaaa uwafikie wengine waliokutangulia
 
Ongeza picha mkuu kila pembe ikionekana(ikionesha) itapendeza zaidi.

Lunatic
 
Back
Top Bottom