sheikspear
Senior Member
- Aug 31, 2018
- 144
- 58
Si lazima uende popote ni kufundishwa tu jpo wapo unasomea Ila kichwa kama chepesi Mda mfupi unakuwa vizur ....na wateja wengi aina za massaji wanazotaka huna haja ya kusomea ni kuelekezwa then unapiga hela ...hasa kwa wageni saa moja unaweza ukamtoza dola 90 hadi 100 chamsingi aenjoy tuMmejifunzia wapi?mimi nataka nikajifunze kama veta au wapi anayejua atajibu hapa ni miezi ngapi kusoma ada nini, nataka niwe najua kwa faida yangu.
Inategemea aina gani wahitaji ya massage ...na kutoweka pic n tahadhar tu Ila ukichk no hio utapewa pic awe Indian au Swahili ww tuIla picha za wadada wafanya masaji na gharama haujatuwekea
Thanks yupo kijana na anafanya kaz vizurNaweza kuwafanyia massage wadada, kama huna mafanyakazi nitafute pm. Najua lugha zote unazozifahamu.
Wakitaka extra huduma nitawapa(joke)
Ni malipo ya kufanyiwa massagendugu mleta mada hiyo dola 90 mpaka 100 kwa saa ndo ada au?ngoja nkupm
No I mean massage kwa wateja wetu wengi ambao wanatoka nje ya nchi ...ndugu mleta mada hiyo dola 90 mpaka 100 kwa saa ndo ada au?ngoja nkupm
Si unifunzie yotubendugu mleta mada hiyo dola 90 mpaka 100 kwa saa ndo ada au?ngoja nkupm
Si rahc unavofikir YouTube na kupractise n vitu viwili tofautSi unifunzie yotube
[emoji252] [emoji479]
Sawa mwalimu.
Kawaida tu it's ol abt making money nothing elseSawa mwalimu.
[emoji252] [emoji479]
Pm yang nashndwa jibu message ..cjui kwanini ..ka hutajal utatuchk kwa no hiyo 0687882820Hornet practical dia ujue anayeongea na vitendo ni poa sana, kuna kipindi nlisoma veta wana hiyo kozi.