Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Una ndoo mbili,A na B.Ndoo A ina lita mbili za vinegar na ndoo B ina lita mbili za maji.Chukua lita moja ya vinegar kutoka ndoo A kisha changanya na lita mbili za maji katika ndoo B.Changanya vizuri kisha chukua lita moja ya mchanganyiko wa (vinegar-water) kutoka ndoo B,imimine katika ndoo A halafu changanya vizuri.SWALI;Ndoo A ina maji mengi au ndoo B ina vinegar nyingi?