Karibu tukupimie kiwanja chako kwa garama nafuu

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
Habar wapendwa karibuni katika kampuni yetu ya one2onefocus limited iliyopo Jengo la makumbusho complex na matawi ya Mwanza eneo la Buzuruga Plaza tukupimie kiwanja chako garama za upimaji ni mil 2 na laki tisa tu. Na utapata title yako baada ya miezi minne karibuni sana pia tunajenga nyumba za garama nafuu kwa Maelezo zaidi tembelea website yetu ya www.one2onefocus.com au Nipigie kwa 0763772636/0789047874 au waweza kunichek WhatsApp kwa 0763772636 karibuni sana Nyumba yako Maisha yako... Kiwanja chako maisha yako
 
kwa miongozo ya NCPS Surveyors as professionals haturuhusiwi kujitangaza kwa mtindo huu. inaonekana umetoka shule majuzi. kuna hatari tukakufungia kupractice. take care.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom