Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,431
Habari wana JF!
Leo nachukua nafasi hii kuitambulisha Yuotube channel ambayo tutaenda kujifunza hatua kwa hatua web development na computer programming kwa ujumla!
Kwa kuanza nimeandaa video ambayo itakupa mwangaza wa website development (angalia kwenye link hapo chini). Tutaona kazi au aina za web developers na ni ujuzi gani wanatakiwa kuwa nao, hii itakuwezesha wewe kuamua unataka kuwa aina gani ya web developer! Nitajitahidi atleast kila wiki au baada ya siku kadhaa niweke masomo yanayohusu web development au programming!!
Videos zitakua ni kwa wanaoanza, haijalishi level ya elimu yako, lugha ni kiswahili na english! utachohitaji kompyuta yako, internet (vingine tutaambiana kwenye videos/masomo)!
Okey, enough me typing, twende moja kwa moja kwenye channel!
Link ya kwenye channel: AfriCom Developers
Soon nitaandaa series ya videos kwa website development (step by step)! Tunakushauri u-subscribe kwenye channel ili kupata updates za video/masomo mpya nitazoweka kwenye channel!!
UPDATE: Tutorial ya kwanza: Installing text editor view it here HTML5 - YouTube
Nakaribisha maoni na mawazo yenu hasa kuhusu mada/masomo/tutorials na channel kwa ujumla!
Lodrick
AfriCom Developers
Let develop something useful today!