Karibu tujifunze C++

Karibu tujifunze C++

fungi06

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2020
Posts
740
Reaction score
1,024
Kwanza kabisa bila kuboa tuanze na historia ya C++ ;

C++ programming languagee ilitengenezwa (vumbuliwa) na Bjarne Stroustrup na timu yake ijulikanayo kama team bell maabara (at & t. USA) kusaidia utendaji kazi wa programm za computer kufanya kazi kwa njia ya usahihi. Toleo la awali mwanzo kabisa originali ilifahamika kama "C with classes," mpaka ilipo fika miaka ya 1980. Tukapata kitu kipya kiitwacho C++ ikaingia kufanya kazi, C++ imetokana na, C programming language (lugha ya kuamrisha mashine) na ++ izi ni increment operator ya C

Katika miaka ya awali 1989 ANSI committee ( American National Standard Institute) ilivumbuliwa na kuipa hadhi C++ kuwa standard language. Dhumuni kubwa ikiwa ni kuwa na compiler vendor na software developers wengi duniani ili kupunguza mkanganyiko unaotokana na variety of dialects.

Mwaka 1998 ISO ( International organizations for standardization) waliafiki kua C++ iko standard

Embu tuone pia characteristics za C++ zipoje?

C++ kwanza sio purely object oriented language bali ni hybrid ambayo inayo utendaji kazi unao landana na C programming language ( C ). Ikimaanisha kua vitu vyote ambavyo viko ndani ya C vinapatikana pia ndani ya C++
♧ iko universala usable modular programs
♧ uchapaji kazi wake ni effecient, karibu mno na lugha za machine
♧ iko portable kwa ajili ya various platform
♧ data abstraction. Ikijumuika na katika kutengeneza classes za ku describe object.
♧data encapsulation kwa ajili ya kuendesha access za object data.
♧ inheritance kwa kutengeneza classes
♧ polymorphism (greek for multiform)

Kunazo lugha various element zilizo ongezwa ndani ya C++ ikiwemo÷
References.
Templates.
Exception handling

Nitarudi....tuendelee na traditional procedural programming.
 
Kumbe programming ndoo hya ma languages duuuh
 
Traditional procedure programing

Kwenye lugha hii ya traditional programming data na function huifadhiwa kwa kuoainisha data zinazo processiwa. Hii uleta uwezo kwa jinsi ambavyo programm ina beba data:

☆Programmer alitakiwa kuhakiki kua data iko initialized with suitable value kabla ya kuanza kutumika pia suitable data hupitishwa data to a function pale itakapo itajika.

☆Ikitokea representation ya data ikibadilika mfano; kama record ikiwa extended, the corresponding function must also modified.

Kwa pamoja point izo apo juu mbili zinaweza leta error and neither kuleta low programm maintanance requirements.

Object.
Matokeo ya object kwenye programm hubadili mitazamo ya attention to the object, hii nikutokana na aspect kulinga na chanzo cha tatizo.
Program inayotengenezwa kwa matumizi ya bank hufanya kazi kwa kutumia data ambazo ni kama vile
♤balance
♤credit limits
♤ transfers
♤ interest calculation. And so on

Object huwakilisha account ndani ya programm ambayo huifadhi vitu au taarifa za msingi kwa ajili ya account management.

Object hucombine data (properties) na function (capacities). Object huwasiliana kwa kutuma "messages" which in turn huactivate another object capacities.
 
Napenda programming lakini kibongo bongo kutoboa kupitia huko kazi Sana aisee
Labda ufanye for funny
 
Shukrani mkuu kwa kuja na kitu Kama hichi. Napenda sana kujifunza programming naomba unipe mwanga wa kuanzia ni vitu gani vya muhimu hasa natakiwa kuvifahamu kama basic?

Nimefuatilia kwa umakini sana maelezo hayo bado sina mwanga sana.
 
Karibu mkuu tutajifunza wote hapa hapa japo na mimi siko vyema kiasi ila wako wajuzi tutasaidiana kukupa knowlegde

Enjoy
 
Back
Top Bottom