Karibu tufanye kazi

Karibu tufanye kazi

Fay Mastories

Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
49
Reaction score
3
Habari, nawashukuru mliojitokeza na wengine nawakaribisha tena watu wote kuanzia miaka 18 na kuendelea! kama unajiamini unaweza kuwa muaminifu na ukafanya kazi nzuri ni PM namba yako ntakutafuta watsapp.

Ni biashara ya mtandao inayolipa vizuri ukijituma, zaid ujue unataka nini,.narudia tena ni PM namba yako ya simu ntakutafuta, na wale mlionipm maelezo sina mda wa kuchat na kueleza sana! we ni PM namba ya simu unayotumia watsapp nikutafute.

Inapendeza zaid ukiwa dar! ili tufanye team work nzuri! japo na mikoani karibuni sana.

asanteni.
 
habari,.
nawashukuru mliojitokeza na wengine nawakaribisha tena watu wote kuanzia miaka 18 na kuendelea! kama unajiamini unaweza kuwa muaminifu na ukafanya kazi nzuri ni PM namba yako ntakutafuta watsapp.

ni biashara ya mtandao inayolipa vizuri ukijituma,zaid ujue unataka nini,.narudia tena ni PM namba yako ya simu ntakutafuta,na wale mlionipm maelezo sina mda wa kuchat na kueleza sana! we ni PM namba ya simu unayotumia watsapp nikutafute.

inapendeza zaid ukiwa dar! ili tufanye team work nzuri! japo na mikoani karibuni sana.

asanteni.

hyo ndo whatsap yang 0786410889
 
Nimetka kdgo nje ya dar ila ntarud after 2 wks vp ntaikuta kazi?
 
Dah!We umepata kazi majuzi tu ulishaanza kudharau wenzio?

usibishane na anaejikuta karidhika!!..wapo waliosoma wasomi miaka miwili hawana kazi!!.

halafu huyu mtu wa hivi simshangai...mwanzoni mwenyewe niliidharau forever na kuwaona wezi kwavile sikujua kitu zaid ya kuamini ni kutembeza bidhaa...aaah! wapi nilipoamua kujiunga na kuhudhuria training ndipo nilipojua nilikuwa nakosea wapi..
hamna anaekupa bidhaa utembee uuze hapana!!.ni akil yako tu na jinsi unavyoweza kufanya kazi kwa mda... hyo flp unayoidharau wewe,mimi inanilisha,inanivalisha nabadili nguo na vyakula navyotaka,nalala vizuri,na namuhudumia mdogo wangu mdogo na bado natosheka..na nia ya kuleta hili tangazo hapa naamini jf kuna watu wanapenda kazi kujishughulisha wakalipwa na wao bali njia hawaioni,mimi nakukaribisha leo na nakuahidi kukushika mkono.ni pm namba yako ntakutafuta.
pia,kama unaona usharidhika basi pita kimya kimya tu wala huulizwi.
 
Mleta uzi nawewe siyo,mpaka Whatsup means no simu ya kisasa no fursa,vijana ndo wanatafuta kazi.
 
Mleta uzi nawewe siyo,mpaka Whatsup means no simu ya kisasa no fursa,vijana ndo wanatafuta kazi.

hapana..nia ya kusema watsapp ili kuweza kupata videos na picha pamoja na taarifa za events tofauti tofauti,hata ukiwa hautumii watsapp pia karibu
 
habari,.
nawashukuru mliojitokeza na wengine nawakaribisha tena watu wote kuanzia miaka 18 na kuendelea! kama unajiamini unaweza kuwa muaminifu na ukafanya kazi nzuri ni PM namba yako ntakutafuta watsapp.

ni biashara ya mtandao inayolipa vizuri ukijituma,zaid ujue unataka nini,.narudia tena ni PM namba yako ya simu ntakutafuta,na wale mlionipm maelezo sina mda wa kuchat na kueleza sana! we ni PM namba ya simu unayotumia watsapp nikutafute.

inapendeza zaid ukiwa dar! ili tufanye team work nzuri! japo na mikoani karibuni sana.

asanteni.

Namba hyo nicheki whatsapp 0758 777 552.
 
Hii biashara inaweza kumtoa mtu from nothing to the something km atakuwa serious sema watu hawajui tu
 
Hii biashara inaweza kumtoa mtu from nothing to the something km atakuwa serious sema watu hawajui tu

Hamna kitu hapa, halafu umenena ukweli hii biashara ina uwezo wa kumtoa mtu (mmoja) aka (wachache) na wengi wao kulambwa pesa zao na kupoteza muda, nimewaona kibao wanazunguka na vibegi kuuza dawa za mswaki za 25,000 nani atanunua? enyi wote mnaotaka kujiunga huko ni kupoteza muda na pesa.
 
Back
Top Bottom