Karibu tubashiri matokeo ya Gor Mahia vs Everton

f9ab847cc64cf135cf3a1ba8af30e626.jpg
 
Kutabiri mechi kama hii ni kuwaste time, lengo kubwa la hii mechi sio kutafuta bingwa kati ya hizi team mbili hivyo hakuna atakayecheza kiushindani.
Nimejipanga kwenda kumvuta shati runi uwanjani, jiandae kuniona.
 
Mimi ndio nitakukamata
 
Watafungwa 12 hao goalmahia

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu upo? Ulimhala?
Hapana Mkuu, hii ndiyo timu pekee iliyoshinda mechi zake zote bila kupiga matuta.

Michuano hii iliyoanza Juni 5, ilishirikisha timu nane, nyingine Nakuru All Stars, Tusker FC za Kenya pia, Jang’ombe Boys ya Kenya, Yanga, Simba za Dar es Salaam na Singida United ya Singida.

Yanga ni timu pekee ya Tanzania iliyofika Nusu Fainali na kutolewa kwa mikwaju ya penalti 4-2 na AFC Leopards baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90.

Jang’ombe Boys ililambwa 2-0 na Gor Mahia katika mchezo wa kwanza, wakati Singida ilitolewa kwa penalti 5-4 na Leopards na Simba ilitupwa nje kwa penalti 5-4 na Nakuru All Stars.

Michuano hiyo mwakani itafanyika Kenya.
 
Back
Top Bottom