IsayaMwita
JF-Expert Member
- Mar 9, 2008
- 1,127
- 140
Huo ndio ukweli. Maana hata hayo anayoongelea bungeni na yakampandisha chati yameletwa humo na wabunge wa upinzani na wao "wapambanaji ndani ya CCM" wakadandia kwa kasi ya ajabu.Ndugu zangu wana Jf nachukua fursa kumkaribisha mama yetu hapa Tarime kwani nimeona anaweza kufanya kila kinachowezekana kulitwaa jimbo hili mikononi mwa CHADEMA.
Nimeamua kulisema hili kwani kwa kile mama kilango alichokisema kuwa 2010 atakuwa pale Moshi sasa basi sijasikia mwanasiasa yoyote toka CCM akijiandaa kuja kulitetea jimbo letu la Tarime!
Maswali tunayoweza kujiuliza hapa je wanaogopa tafrani huko Tarime?
Wasiwasi wangu je hii demokrasia inayotumika ina mshiko?
Angalizo mama Anna asisahau kuwa hawa wapinzani wana mchango mkubwa pale Bungeni?
Mama anna asisahau kuwa hao anaotaka wasirudi kule bungeni ndiyo nguvu yake.
Huo ndio ukweli. Maana hata hayo anayoongelea bungeni na yakampandisha chati yameletwa humo na wabunge wa upinzani na wao "wapambanaji ndani ya CCM" wakadandia kwa kasi ya ajabu.
Ndugu zangu wana Jf nachukua fursa kumkaribisha mama yetu hapa Tarime kwani nimeona anaweza kufanya kila kinachowezekana kulitwaa jimbo hili mikononi mwa CHADEMA.
Nimeamua kulisema hili kwani kwa kile mama kilango alichokisema kuwa 2010 atakuwa pale Moshi sasa basi sijasikia mwanasiasa yoyote toka CCM akijiandaa kuja kulitetea jimbo letu la Tarime!
Maswali tunayoweza kujiuliza hapa je wanaogopa tafrani huko Tarime?
Wasiwasi wangu je hii demokrasia inayotumika ina mshiko?
Angalizo mama Anna asisahau kuwa hawa wapinzani wana mchango mkubwa pale Bungeni?
Mama anna asisahau kuwa hao anaotaka wasirudi kule bungeni ndiyo nguvu yake.
anatafuta nishani ya CCM
Sidhani kama mama anaogopa mikuki, wasiwasi wangu ni kuwa mbona anataka kutokomeza demokrasi hii inayoanza kuchipuka hapa Tanzania?
anatafuta nishani ya CCM
Ametonywa kuwa Slaa akiwa raisi atashghurikia mafisadi wote halafu mama Simba kamkumbusha kuwa na yeye ni fisadi. Alichokosea mama simba ni kuwa ametumegea kidogo tu kati ya yale wanayoyajua ya huyu mama.
Mimi nakwambia huyu mama atatumika sana mwaka huu atakoma kuwanyoshea vidole wenzake kabla ya kutubu ya kwake
Huyu mama anatafuta sifa tu. Hakuna kingine hakuna mabadiliko yoyote aliyoleta ndani ya CCM, wala kwa wapiga kura wake ila anataka Mrisho amwone mwakani ubunge wa kuteuliwa akishindwa. Kumbukeni ana kadi ya njano, anaogopa almashauri kuu kupitishwa kugombea kwa hiyo anajipendekeza kwa chama chake.
anatafuta nishani ya CCM
Hivi huko tarime hakuna wabunge? wa CCM?
Hivi huko tarime hakuna wabunge? wa CCM?
Sura-ya-Kwanza;
Tarime kama jimbo kwa sasa hawapo, ila naamini ukija hapa wewe utakuwa mbunge wetu karibu ndugu.
I.mwita,
Hawapo CCM? Jimboni?
nani wapo na wana ajenda gani?
nipo kinondoni dar!
Sura-ya-Kwanza
Na ndiyo maana nimekuambia ukija hapa jimboni kwa kupitia tiketi ya ccm uatakuwa Mbunge wetu, karibu Sura-ya-Kwanza