KARIBU SUA 1st year

rayman m

Senior Member
Feb 6, 2012
120
27
Allocation yenu hii hapa!!! http://www.suanet.ac.tz/docs/loan allocation 1st batch.pdf. Hata hivyo nawashauri wale mlo kosa hasa wale wa 2nd year mlo kosa mwaka jana na majina yenu hayaja apear sehemu yoyote muwe na subira kwani hiyo hapo ni 1st batch so HUENDA KUKAWA NA BATCH ZINGINE. asanteni nami nashuka jukwaani kuwapisha wengine!
 
kaka katk hyo link jina langu lipo ila nikienda chuo naambiwa sina nafasi hapo kuna tatzo gani?nisaidie cha kufanya ndugu
 
Allocation yenu hii hapa!!! http://www.suanet.ac.tz/docs/loan allocation 1st batch.pdf. Hata hivyo nawashauri wale mlo kosa hasa wale wa 2nd year mlo kosa mwaka jana na majina yenu hayaja apear sehemu yoyote muwe na subira kwani hiyo hapo ni 1st batch so HUENDA KUKAWA NA BATCH ZINGINE. asanteni nami nashuka jukwaani kuwapisha wengine!

Thx much bro
 
Kama sijakusomahiv! Yan jina lako lipo on this this batch af unaambiwa hakuna nafac yako How? Na je kwan um¨¨fka sua? najua mnaripot tar 8, but all in all sua z da home of excellence so calmdown m quite sure every thing will run systimatilly!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom