Karibu Silas furniture: Kwa mahitaji yako yote ya furniture (samani) za aina yoyote ile

Sameheni camera

WhatsApp or Call 0622273802
IMG_20180530_182117_791.jpg
 
Chongeni huko huko mikoani mwenu hivi ni kwa ajili ya watu wa Daslam pekee.
Habari yako mkuu, bidhaa sio kwaajil ya watu wa dsm pekee, bidhaa zetu zinafika popote Tanzania kwasasa, Mungu akijaalia tutavuka mipaka pia

Mtu yeyote mwenye uhitaji anaweza Wasiliana nasi kwa mawasiliano yetu tukamtengenezea anachotaka na kumtua popote alipo Tanzania
 
Back
Top Bottom