Karibu shule za mkoa wa kilimanjaro 2022

Karibu shule za mkoa wa kilimanjaro 2022

Kv-london

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
2,892
Reaction score
5,084
Karibuni shule za mkoa wa kilimanjaro kwa ujumla mwaka 2023
Zipo shule za serekali zenye hostel ada 500,000-650,000 per year mfano
Kifaru sec
Lyakrim sec
Makom sec
Mkuu sec
Komakya sec
Namwai sec nk
Shart- mtoto wake awe anasoma shule za serekali tu
Nafasi zipo kwa hostel kidato cha 1 hadi cha 4 kwa wanao hamia

Pia zipo za private nzur kama
St amedeus boys
St mary eugene girls
Kibosho girls
Anuarite girls
N.k

Mawasiliano&whatApp
0764616353
 
Hii naomba untajie shule nzuri za Seminary zenye Ada nafuu huko Kilimanjaro tafadhali
 
Hii naomba untajie shule nzuri za Seminary za kiislam zenye Ada nafuu huko mkoani kwako popote nchi mzima.
 
Hii naomba untajie shule nzuri za Seminary zenye Ada nafuu huko Kilimanjaro tafadhali
Shule za seminary za jinsia gan zipo za boys na girls kuw specific nkusaidie
 
Hii naomba untajie shule nzuri za Seminary za kiislam zenye Ada nafuu huko mkoani kwako popote nchi mzima.
Shule nyingi zizllizopo mkoani Kilimanjaro na zinazofanya vizuri na za kikiristo zenye dini mchanganyiko
Kila shule anaheshimu sana uwepo wa Dino nyingine na siku ya ijumaa wanapewa muda kwa ajili ya kuswali na kufanya ibada

Karibu sana mkoani Kilimanjaro
 
Nahitaji ya girls tupu naomba muongozo kama ipo
 
Back
Top Bottom