Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Sep 25, 2015 Thread starter #21 GIUSEPPE said: UGALI NA SUPU, umenikumbusha wakati na kaa na wakorea dodoma, nyama inachemshwa haiwekwi chochote ndo inaliwa kwa wali. Click to expand... wanasema chukuchuku hiyo sio mchezo
GIUSEPPE said: UGALI NA SUPU, umenikumbusha wakati na kaa na wakorea dodoma, nyama inachemshwa haiwekwi chochote ndo inaliwa kwa wali. Click to expand... wanasema chukuchuku hiyo sio mchezo
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Sep 25, 2015 Thread starter #22 Amavubi said: hiyo ni mboga au mchemsho>? Click to expand... hiyo mboga
CHENGU MANURE JF-Expert Member Joined May 26, 2015 Posts 914 Reaction score 567 Sep 25, 2015 #23 huo ugali huwa kama gundi. hausikii njaa siku nzima
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Sep 26, 2015 Thread starter #24 CHENGU MANURE said: huo ugali huwa kama gundi. hausikii njaa siku nzima Click to expand... unakaa sana tumboni
CHENGU MANURE said: huo ugali huwa kama gundi. hausikii njaa siku nzima Click to expand... unakaa sana tumboni
C CREOLE JF-Expert Member Joined Mar 21, 2015 Posts 563 Reaction score 337 Sep 26, 2015 #25 Ugali wa mihogo na michuzi ya samaki wapi na wapi. Kitu dagaa, kweme, mtindi na nyama kavu. Unakula huku unaomba usisikie hodiiii....
Ugali wa mihogo na michuzi ya samaki wapi na wapi. Kitu dagaa, kweme, mtindi na nyama kavu. Unakula huku unaomba usisikie hodiiii....
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 7, 2015 #27 Ugali wa Muhogo na Samaki chukuchuku. Hapo najua ndimu imekolea haswa kwenye mchuzi ndipo utalifurahia bada. Nimejisikia hamu ghafla, jamani
Ugali wa Muhogo na Samaki chukuchuku. Hapo najua ndimu imekolea haswa kwenye mchuzi ndipo utalifurahia bada. Nimejisikia hamu ghafla, jamani
fakalava JF-Expert Member Joined Jul 16, 2015 Posts 4,459 Reaction score 6,033 Oct 7, 2015 #28 MNANSO said: Nashangaaga sana kuwaona wanaume wamepanga foleni wanasubiri chips mayai tena za cafteria zilivyo mchinjo hata mi mwanamke sishibi sasa sijui wenyewe inakuwaje Click to expand... Ndiyo maana upungufu wa nguvu za kiume limekuwa ni janga, mtu anakula chips mayai kisha anashushia na cola.
MNANSO said: Nashangaaga sana kuwaona wanaume wamepanga foleni wanasubiri chips mayai tena za cafteria zilivyo mchinjo hata mi mwanamke sishibi sasa sijui wenyewe inakuwaje Click to expand... Ndiyo maana upungufu wa nguvu za kiume limekuwa ni janga, mtu anakula chips mayai kisha anashushia na cola.