Karibu sana

Umenikumbusha mbaali. Hivi Dar ugali huo unapata wapi? Nilikuwa naupata breakpoint Knyama, walipohama basi tena
 
aisee hyo kitu ni balaa, ukiiweka tumbon yanapta masaa 12 ndo unaanza kuhisi njaa tena
 
kwa hiyo mkuu leo umekula hiyo kitu....?
 
kitu matamba,mbona sioni mchambula(kisamvu) hapo
 
Nakuombea uwe hivyo mpk ck ya kikatio ukakate wajinga wa pale Lumumba
mkuu hilo shaka ondoa. kabla ya saa nne mkuu edo japo simkubali atakula yangu moja na nimemuandalia wengine zaidi ya kumi na tano.

mabadiliko sio lazima yaje na lowasa ila yataanzishwa na lowassa.
 
mkuu hilo shaka ondoa. kabla ya saa nne mkuu edo japo simkubali atakula yangu moja na nimemuandalia wengine zaidi ya kumi na tano.

mabadiliko sio lazima yaje na lowasa ila yataanzishwa na lowassa.

Safi sana ww ndio unatakiwa kupewa maik na betri mpyaaaaa kabsa kwa ajili ya kuwaeleza wengi ambao hawajui somo wanalosoma kila ck mwanzo mwosho El anaweza kuwa mcngi wa mabadiliko hata kama hatayaleta yeye Tz we need charng
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…