Karibu SANA Binti wa Mfalme

Karibu SANA Binti wa Mfalme

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
2,623
Reaction score
1,096
Karibu SANA Tanzania Binti wa Mfalme wa Sweden - Princess Victoria Lugrid Alice Desiree.

Tuna mengi sana ya kujifunza kutoka watu na serikai yako, ya kiuchumi na kijamii.
 
Attachments

  • BFalme I.jpg
    BFalme I.jpg
    46.5 KB · Views: 401
Fadhila za Sweden kwa Tanzania ni nyingi sana bila kuhesabika.....!! Lakini mafisadi ndiyo MABINGWA !
 
Fadhila za Sweden kwa Tanzania ni nyingi sana bila kuhesabika.....!! Lakini mafisadi ndiyo MABINGWA !

Kweli, tatizo liko upande wetu, kwao kila mtu anafaidika sana na raslimali za nchi yao.

Ngoja wageni (incl. Wakenya) wamalize kutufundisha jinsi ya kutunga katiba ya kulinda na kutumia raslimali zetu.
 
Karibu SANA Tanzania Binti wa Mfalme wa Sweden - Princess Victoria Lugrid Alice Desiree.

Tuna mengi sana ya kujifunza kutoa watu na serikai yako, ya kichumi na kijamii.

binti anafanana na ZLATAN IBRAHIMOVIC...jamaa anavyommezea mate angeweza akamfanya mke wa 20 sema hana SUMU
 
Binti ameenda kumtembelea rais ikulu,na siyo rais kumpokea binti....
 
Back
Top Bottom