sijui kwa nini Samsung wakaamua kuja na s20 mwaka huu badala ya s12 kama tulivyozoea,sijui kama wamesitisha jumps mlolongo waliokuwa wakienda nao
Sent using galaxy s10+
Wafanye fanye washushe bei ya s10 + sasa hata ikifika usd 400 sio mbaya [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanye fanye washushe bei ya s10 + sasa hata ikifika usd 400 sio mbaya [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
samsung note 9 ndio simu bora kwangu
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Tunausoma kwa mbali tunaotumia tecno p5
Kweli muda unakimbia..S10 si zilitoka juzi tu hapa??
Najua mkuu kuwa hawa jamaa wanafyatuaga flagship zako February..ila mimi nimeona imefika fasta,ndo maana nikasema siku zinaenda haraka
Najua mkuu kuwa hawa jamaa wanafyatuaga flagship zako February..ila mimi nimeona imefika fasta,ndo maana nikasema siku zinaenda haraka
Poa mkuu,kwa uzoefu wako a71 unaionaje mkuu?