Karibu saloon kwetu!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwanza hicho kigoda nahisi kimezama kidogo kuongeza stabiliti...
Halafu ukienda hapo, hakuna nywele mwilini inaachwa ndio maana wameusaula...
 
Mhhhhhhhh mila zingine banah kazi kwelikweli!!!!!!!!!!!!!!!Sijuio hao ni waume za watu au mabachelor?????
 
Mhhhhhhhh mila zingine banah kazi kwelikweli!!!!!!!!!!!!!!!Sijuio hao ni waume za watu au mabachelor?????

Wala usihofie kuhusu mila, karibu tu.
Tena wamasai kwa kusuka raster usiseme. Utapendezaje!!!!
 
nina tatizo moja......huwa nikikaa chini kusukwa nachoka sana.......lazima niegemee......sasa najiuliza.....nitakapomuegemea huyo msusi wako hapo pichani.....itakuwaje......?

Wala usiogope kabisa, msukaji wetu hana shida....... utaegemea tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…