Hahahahahahahah lol
kweli we unasoma unachoandika
kweli.. unaelewa kwamba we unagombana na keyboard
mi nakulazimisha vipi unijibu asee watu wengine bwana
Kweli ur right TF na Nazjaz saizi yangu..
Na we under 18 unafanya nini hapa..
Ingekuwa mtu mzima kam a unavyodai ungeni PM
labda ningekusikiliza .. sasa chora chini usivunje keyboard lakini.
have a wonderful day mmmhh
Thread imetulia lakini nashindwa kuelewa kwa nini imeanza kwa watu kupigana mikwara..Acheni bwana Afrodenzi wewe tulia usimjibu kitu pia mtu mmoja sio fresh kuanza kukanda thread ya mwenzako kwa kauli za dharau wana jf kwanini tugombane jamani!mie nadhani mtu ukiona thread haikufai haina haja ya kutukana achana nayo tu usimponde muweka thread sababu kibaya kwako kizuri kwa mwenzio mbona the finest kaielewa vizuri tu
yah, hapo nilipoweka bold, pazuri. tanks a lot. na wewe pia an even more wonderful day!
lakini punguzeni hii maneno rafiki. kila siku watu wanalalamika kuwa kuna thread sio muhimu kuwekwa hiku, lakini inaonekana baadhi ya watu wakiweka, inakuwa poa tu, wengine wanaambiwa waa-PM, sasa double standard za nini JF, sasa washauri wenzio, bana & dont mind any way, enjoy your day
nimekupend gafla kwa busara na utulivu wako, yaani hadi umeniepusha na ban! keep it up
peleka huu upupu wako kwenye jalala la chit chat, aibu tupu!
Mtu kupewa pole kwa matatizo sio sawa na kuambiana wanazimiana!Ungekua mjanja kama unavyotaka kuonekana ungegundua hilo!
Pole na karibu Pearl!
nyie ndo wa kuonewa huruma, msioona haya kuchafua hali ya hewa kwa kuanzisha mathread kama mnashindana, na kama wangekuwa wanatoa zawadi sijui ingekuwaje. huu nao ni ufisadi wa threads!
Kwani si uachane na thread usiyoipenda mpendwa katika bwana.........................yanini malumbano??????????
Muonee huruma tu
Mwache aende zake..
sitaki kengele zaidi...
Thread imetulia lakini nashindwa kuelewa kwa nini imeanza kwa watu kupigana mikwara..
unasikia mpendwa, wengine wakianzisha thread za watu binafsi wanaambiwa wawaPm, hawaohao wanaotaka wengine wawapm ndio wanaoongoza kuanzisha mathread binafsi! tumechoka na unafiki, nao lazima wavue magamba sasa!
Welcome back again to JF
Yaani leo sio wewe nayemfahamu kwani umekuwaje dear??? Acha hasira basi bana.........................
Sredi kama hii ya karibu Pearl unaizungumziaje mama ushauri?
Au kwa vile aliye rusha ni swaiba wako unafumba macho au sio mama ushauri.
Mi nauliza tu
Yaani leo sio wewe nayemfahamu kwani umekuwaje dear??? Acha hasira basi bana.........................