Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,535
- 8,620
It is painful that after over 40 of independence our rightful place in all spheres of development and achievement is right at the bottom. It is sad that Tanzanians still have faith in the system that has driven us that low beyond belief. It is frightening that our hopes still rest on the very people who have plummeted our welfare to such unbearable levels. It is indeed tragic that the end to all our sufferings is nowhere in sight as we continue to embrace a leadership that is not worth the name.
How far down have we to go before we realize that we have to change course because the only way left is up. Let us rise and say enough is enough for we are a great people endowed with the blessings of nature that embrace us all over. It can be done, let each and every one of us play their part and on this I can be counted on. This huge monster CCM has to go whether by coaxing, cajolery or wheedling. If these wont do then we have to do what we have to do.
Hivi ni mwendawazimu gani aliyeamua kupiga marufuku michezo shuleni? Enzi zetu tulikuwa na kila aina ya michezo: 100 meters, 400 meters, high jump, kukimbia na magunia, na tulishindana shule kwa shule na mara nyingine hata mkoa kwa mkoa. What happened?

Yaani waziri alibakia huko siku zote hizi baada ya ufunguzi? Alitakiwa kuwa na next day return ticket baada ya kuwasindikiza "wanariadha" wetu. Kwanini wasingepeleka katibu tu jamani... yaani waziri mzima kwenye timu ya watu sijui wangapi vile....
........Nimemaliza kuangalia mbio za marathon ambazo angalau zinatutoaga..washiriki walikuwa 98..wakajitoa 22...wamemaliza 76 ..mtanzania amekuwa wa 55[samson ramadhani]...
karibu nyumbani waziri wa michezo na naibu katibu mkuu wa ccm, capt mkuchika amabaye uliambatana na timu yetu china...nadhani umepata muda wa kutalii...tunaomba tu airport usikimbie waandishi...au ukamsukumizia afisa wako wa chini..kama vile ulipoamua kusafiri na timu bila ulazima hukumsukumia mtu safari.....basi usikimbie mapokezi kesho kutwa airport..
..waziri wa ardhi na katibu wako mwenezi ambaye hutoa statement za kupongeza hata BBA au miss kitongoji anaposhinda kama moja ya mafanikio ya sera sahihi za kikwete..tunaomba pia atoe statement ya hili la beijing..
riadha riadha..aibu ya taifa!!!
....Joseph Mungai
SteveD,
........trust me..........nikiwa kama mwanamichezo...........nilimlaani Joseph Mungai toka siku ile alipozima michezo mashuleni........
Lakini tungekuwa world champions ingebidi waiweke. Si umemwona Muafghanistan amechukua medali ya shaba kwenye Taeekwondo na nyumbani serikali inamjengea nyumba?Ohoooo Mkuu! Lakini hiyo haipo kwenye olympic
Lakini tungekuwa world champions ingebidi waiweke. Si umemwona Muafghanistan amechukua medali ya shaba kwenye Taeekwondo na nyumbani serikali inamjengea nyumba?