Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,324
- 8,205
........Nimemaliza kuangalia mbio za marathon ambazo angalau zinatutoaga..washiriki walikuwa 98..wakajitoa 22...wamemaliza 76 ..mtanzania amekuwa wa 55[samson ramadhani]...
karibu nyumbani waziri wa michezo na naibu katibu mkuu wa ccm, capt mkuchika amabaye uliambatana na timu yetu china...nadhani umepata muda wa kutalii...tunaomba tu airport usikimbie waandishi...au ukamsukumizia afisa wako wa chini..kama vile ulipoamua kusafiri na timu bila ulazima hukumsukumia mtu safari.....basi usikimbie mapokezi kesho kutwa airport..
..waziri wa ardhi na katibu wako mwenezi ambaye hutoa statement za kupongeza hata BBA au miss kitongoji anaposhinda kama moja ya mafanikio ya sera sahihi za kikwete..tunaomba pia atoe statement ya hili la beijing..
riadha riadha..aibu ya taifa!!!