Karibu mgeni, karibu Chato.

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,983
11,408
Chato pazuri, namie ntaenda kutafuta kiwanja huko, Dar wala sipapendi.

2..jpg
 
Chato ni kijijini??? Hujafika chato we we? Chato hata kabla ya Urais wa Magufuli ni Kali kuliko hata Manispaa ya Bukoba
 
Naviona vibanda viwili vya magufuli.

Pinda alipoenda kwao kwa Mara ya kwanza baada ya kuwa waziri mkuu,wasaidizi wake wakamkataza kulala kijijini kwake kwa sababu hakukuwa na nyumba yenye hadhi ya kulala waziri mkuu.

Kwa Magufuli naona wasaidizi wake hawakupata tabu kwa kulala bosi wao, alishajiandaa mapema.
 
Nikimwangalia Magu nakumbuka Nyumba zetu kwa jins alivyozigawa ovyo ovyo!! Na ile bot yetu, daah ngoja Tumwachie Mungu!!
 
Raila Odinga toka urafiki hadi mshauri wa Rais kwenye mambo mengi ikiwemo kuvunja mikataba,kurudisha imani ya wafadhili na mwisho mshirika katika uwekezaji wa JPM baada ya kustaafu!
 
Siasa inalipa, Mwalimu Nyerere alijengewa nyumba na jeshi tena alipostaafu ,Magu kaacha ualimu 1995 na kuingia kwenye Siasa kijijini ana palace mjini ana palace halafu mnategemea maprofesa na madaktari wabaki kwenye taaluma zao au vyuoni wakifundisha .
 
Yale ya ZUMA afrika kusini yasije kumkuta MAGUGULI.

ZUMA alitumia fedha za UMMA kujengea makazi yake binafsi!
 
Back
Top Bottom