Karibu kwenye uzi wa "Instrumental Beats" za nyimbo za zamani

Karibu kwenye uzi wa "Instrumental Beats" za nyimbo za zamani

Right Marker

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
194
Reaction score
624
Burudani:
Je, unapenda kusikiliza INSTRUMENTAL BEATS za nyimbo mbalimbali?

Nyimbo nyingi za sasahivi ukitaka kusikiliza INSTRUMENTAL BEATS utazikuta wameweka huko YouTube, Google, n.k.

Lakini nyimbo za zamani zile za enzi ya producers akina P-Funk majani, Master J, Mika Mwamba, Said Comolien na wengineo ni ngumu kupata BEATS zao.

Nina zaidi ya Beats 200. Weka comment ya Jina la Msanii na wimbo ambao unapenda usikilize INSTRUMENTAL BEAT yake ili nikutumie papa hapa.

Right Marker,
Mbezi, DSM.
 
Burudani:
Je, unapenda kusikiliza INSTRUMENTAL BEATS za nyimbo mbalimbali?

Nyimbo nyingi za sasahivi ukitaka kusikiliza INSTRUMENTAL BEATS utazikuta wameweka huko YouTube, Google, n.k.

Lakini nyimbo za zamani zile za enzi ya producers akina P-Funk majani, Master J, Mika Mwamba, Said Comolien na wengineo ni ngumu kupata BEATS zao.

Hivyo weka comment ya wimbo ambao unapenda usikilize INSTRUMENTAL BEAT yake.

Right Marker,
Mbezi, DSM.
Bablee kizizi ile beat ni kali naiomba.

TID zeze

Mr blue tabasam
 
Ngwair ft jaymo-kimya kimya
Makamua -natamani
Joslin-niite basi
Jide-siku hazigandi
Prof jay- kipi sijasikika
Ngwair-she got gwan
Fid q-mwanza mwanza.
 
Siamini-Matonya
Nimpende nani-Diamond
Binamu-MwanaFA
Dibaji-Fatuma
Kisa pombe-Mwasiti
Wameiba pombe-Noorah
 
shida ni ubora wa hizo beat bado sana ndugu!.
Haya mambo tumeshayafanya miaka kama mitatu nyuma lkn bado naona kupata app inayoweza kutenganisha sauti na beat kwa quality inayofaa bado ni mtihani!.

ila hii nafikiri ni kwa huku kwetu, kwa wenzetu beat takribani zote zipo!

ukileta vitu quality kama hii beat ya chid wimbo umenisoma hapo utakuwa umeua!. sikia hii quality
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom