Habari wandugu,
NIna mashine ya kutengeneza Popocorns...ni ya Gesi,,mpya iliwahi tumika kwa majaribio tu.Nilinunua some months ago mpya ina manual na receipt yake..my intention was niwe naifanyia biashara kwenye sehemu za michezo ya watoto nk..Bahati mbaya nikakosa kijana niliyemtaraji na bahati mbaya nafasi yangu binafsi inanibana nashindwa kuianzisha ...
NIlishafanya research ya maeneo yanayoweza kuuza sana na nikagundua ukiwa serious huwezi kosa laki 3 kwa mwezi as minimum.
Faida ya mashine ya Gas ni hupati usumbufu wa umeme unaokatika katika..na pia u r free kufanya biashara anywhere haijalishi barabarani as nilitengenezea na basikeli yake pia..au hupati shida na kuchangia luku kama zilivyo za umeme kama utaiweka karibu na biashara ya mtu.
Aliye serious ani PM ili tuwasiliane