Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
nimeshawafahamisha teyari.Karubuni sana Washawasha umesahau kuandika ilani kuwa umbea hatutaki saloon kwetu
ndio huwa wananyoana mimi nikitoka.Kwa hiyo ni kama pia kinyozi na kinyozi "mnanyowana" si ndiyo?
mi siyo kwamba ni mteja tu,mshanizoea mpaka sometimes nawanyoa watu farkhina njoo nikunyoe kiduku basi
Kwa hiyo ni kama pia kinyozi na kinyozi "mnanyowana" si ndiyo?
nimeshawafahamisha teyari.
Nalog off
Kinyozi na Mnyolewa, njooni mtufunulie ni nani mwenye kusikia raha?
njoo bhana nikunyoe style unayopenda mpaka usinzieWeee uninyoe kiduku mnna mashahari yangu wengine wanatafuta za maiti wabandike wewe wataka kuniumbua...
mnyolewaKinyozi na Mnyolewa, njooni mtufunulie ni nani mwenye kusikia raha?
ndio huwa wananyoana mimi nikitoka.
Nalog off
njoo bhana nikunyoe style unayopenda mpaka usinzie
nalipa halafu najinyoa,kisha nawanyoa wengineKwa hiyo ni kama pia kinyozi na kinyozi "mnanyowana" si ndiyo?
hata za kwapa bhanaAh sitaki weee mie rasta
hata za kwapa bhana
santeeeEeeh vyema sana