rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,106
- 18,715
Ya 45k nzur ila kubwa mno mm nataka simpo tu ivi iyo ya 25k kwani ukichemshia mayai yanapasuka? Sijawai jaribuKaribu Boss
Kuna Aborder
Tsh 25,000
View attachment 2560547View attachment 2560548
Hii Tsh 65,000
View attachment 2560552
Hii TSH 45,000
Unaweza chemsha mayai hayapasuki
View attachment 2560553
Karibu mpenzi wangu WhatsApp 0673485081
Kwa kuboresha tu biashara nashauri mngewapa wateja nafasi ya kulipa kwa installments natumai wengi watavutiwa.
My dear, Asante kwa mawazo mazuri
Inawezekana kulipa kidogo kidogo tuna mkataba kabisa
Pia kuna michezo ukimaliza unapokea vitu utakavyochagua.
Asante