Karibu kupata tarifa za maswali ya interview za serikalini

ugalila

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
652
599
Kumekuwa na changamoto pale watafuta ajira wanapoitwa kwenye interview ya oral na written, naomba uzi huu uwe unatoa maelezezo ya maswali ambayo unaweza ukaulizwa kwenye interview mbalimbali ,mfano kada ya planning officer wanapenda kuuliza maswali ya kwenye research kwa hyo mtahiniwa anatakiwa akomalie research zaidi.........
Tunaomba mtupe uzoefu wenu wakuu
 
Ukufunzi huwa wanatoa maswali manne tuu,,, na mara nyingi nimehudhuria interview kama tatu nikayakuta yanajirudia Ila nilipoenda interview ya pili nikakuta yapo yale yale niliumia saana maana sikuyatilia maanani niliposhindwa interview ya kwanza so nilisbindwa interview tena maana ni maswali maagumu hitari ya kujieleza Ila nilipoitwa mwaka jana tena kwenye interview nikayakuta aisee niliyapasua mbaya maana nilihisi watayauliza tena
 
Maswali kama yapi hayo mkuu please tupe dondoo natanguliza shukrani mkuu
 
Wazo zuri sana, naamini uzi huu utadumu na kupata comments nyingi. Acha ni subscribe kabisa.
 
Kumekuwa na changamoto pale watafuta ajira wanapoitwa kwenye interview ya oral na written, naomba uzi huu uwe unatoa maelezezo ya maswali ambayo unaweza ukaulizwa kwenye interview mbalimbali ,mfano kada ya planning officer wanapenda kuuliza maswali ya kwenye research kwa hyo mtahiniwa anatakiwa akomalie research zaidi.........
Tunaomba mtupe uzoefu wenu wakuu
Kwa hili lina advantage sana, umenene, kujua trend ya maswali ni vizuri sana na inaku-lead kutafuta area of concentration.
 
Utumishi wanatumia njia gani ya kusaisha mitihani..?
Lani wanadhalilisha watu, matokeo yanakuja kinyume na matarajio kabisa
 
Dogo langu alienda interview jana pale regency nilimwambia jinsi ya kujibu swali kuhusu mshahara kama atakutana nalo, Aisee Mungu si athumani wacha wamuulize bwana, nilijisikia raha sana aliporud home nakuniambia kuwa walimuuliza lile swali.
 
Back
Top Bottom