Karibu Kigamboni Mpya

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,060
2,117
Unayetaka kupanga, kupangisha Au Kununua Nyumba za kisasa Kigamboni Na maeneo Ya Jirani nitafute 07182 95 182

4e88e838c5a84e9a54e64c4789099605.jpg
328ee0de66f7324500ef246b8cb53806.jpg

Hii nyumba ipo njia panda ya darajani ina vyumba viwili kimoja master, choo cha public, madirisha vioo, jiko, full tiles, gypsum, maji hayana chumvi (kuna tank), luku unajitegemea

Bei laki 2 na nusu

Ukitaka kali zaidi ya hii tuwasiliane tafadhari
 
Nyumba nzima ipo Kigamboni maweni kodi 500k/month
1. Three bed rooms
2. Lounge
3. Dinning
4. Kitchen with storage
5. Parking
6. Wall fence
 
vyumba viwili tu, kimoja kiwe self contained, iwe iko kwenye uzio wake (stand alone), maji, umeme viwepo pia.
(kisota) Vyumba viwili kimoja master
Madirisha vioo, sebule, choo public, jiko, fence, inajitegemea kwa kila kitu
Laki 4 kwa mwezi

(Kisota) vyumba viwili kimoja master, sebule, choo public, jiko, fence
Laki 3 kwa mwezi

(maweni) vyumba viwili kimoja master, sebule, choo public, jiko, nyumba ziko tatu ndani ya fence moja,luku mnashea laki 3 kwa mwezi


(Mji mwema) vyumba viwili kimoja master, dining, jiko, choo pubic,fence luku inajitegemea
Laki 3 na nusu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom