sorry kwa kudandia uzi , mi nina viwanja nauza dar es salaam zoo ni umbali wa 16km toka darajani vimepimwa na vinauzwa kwa Tsh.13,000/= kwa SQM , mji mwema mpk kibugumo unaweza pata ila havijapimwa na bei ni 5m mpk 25m. kutegemeana na ukubwaMinataka Daraja vipi? (Joke) hvi naweza kupata kiwanja maemneo ya mji mwema? na vina Range kiasi gani kwa bei?