Mkuu Gwakisa,
Sidhani kama hapa ni Kenya maana maneno ya chini yake ni ya Kibahasa (Malay) yenye maana ya hicho kiingereza kilichopinda. Huenda hapa ni Malaysia au Indonesia, maana hata wao kiingereza kimewakalia kushoto kidogo.