Karibu HD Events kwa shughuli yako.

Karibu HD Events kwa shughuli yako.

Brightburn

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2020
Posts
376
Reaction score
714
Una HARUSI, SEND-OFF, GRADUATION, KOMUNIO, KIPAIMARA, VIKAO, MICHANGO? Wasiliana nasi tukupatie kadi nzuri ya kidigitali itakayokuwa rahisi kusambaza kwa wageni wako wote na ya kipekee sana!

Kwanini ununue kadi zetu?
  1. Timu yetu inafika ukumbini kwako ku-scan kadi.
  2. Tutatuma SMS za ukumbusho bure mara 4 (moja kila wiki).
  3. Tutatuma SMS za shukrani bure kwa waalikwa baada ya tukio.
  4. Tutakupa beji 12 bure za kamati yako.
  5. Utapata kadi ya "SAVE THE DATE" bure.
  6. Utapata link ya mchango kushare na watu wako.
  7. SMS zinaenda kwa jina la tukio, mfano: HARUSI, MICHANGO, SEND-OFF, NK.
  8. Ikiwa utachukua kuanzia kadi 250 tutaweza kukusaidia kutengeneza automatic Google sheet ya kufatilia michango na tutakusaidia kukumbusha wakati wote.
Kuchagua kadi tembelea;
Hamia Events - Created for all.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom