Half Genious
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 491
- 786
Mnayo body to body massage? Hiyi ndio naipendega.!..na je nachagua wa kunjfanyia hiyo huduma?.!
Hahaha nimeogopa sana baada yakuona luga kali iyo nikajua hata nikienda naeza chezea makwenz nikijifanya mjuaji.Tena language yake sio persuasive, dah 'hakuna' angesema. Samahani kwa bahati mbaya hiyo huduma haipo kwa sasa, hata hivyo massage zetu ni kwa afya pekee'
Sasa mura HAKUNA si km unaamrisha platoon![]()
nnavyo kibao.. kule ni biashara mbayo imehalalishwa. nimesha risk sana maisha yangu kwenda kwenye mitaa mbayo mtu mweusi haakiwi kufika na nilikuwa nafuata tu huduma zao.Hauna kisa chichote kuhusiana na hii kitu?kilichokupata ukiwa kwa puttin?
hahaha we mutu wewe........... eti Samahani Happiness umetisha yani kuuliza swali tu unaomba samahaniSamahani Happiness, hiyo LAMADA HOTEL iko Kigoma, Singida, Lindi, Simiyu, Pemba, Mara au mkoa upi?
customer service managementhahaha we mutu wewe........... eti Samahani Happiness umetisha yani kuuliza swali tu unaomba samahani
Hakuna happy ending, Hakuna huduma za ziada za siri, Massage zetu ni kwa ajili ya kuboresha afya.
mkuu, hapo umeniacha pale tazara kwenye mataa!!...............
We bring back your happy!
We bring back your happiness......
We bring back your happy!
mkuu bora akuweke reception yake tu kama bado hujaajiriwa, umetishaaaaaaacustomer service management
mkuu bora akuweke reception yake tu kama bado hujaajiriwa, umetishaaaaaaa
Sasa mkuu hvyo vimbwanga vyako utaanza kuvisimulia lini hapa jamvini nasi tupate uhondo?nnavyo kibao.. kule ni biashara mbayo imehalalishwa. nimesha risk sana maisha yangu kwenda kwenye mitaa mbayo mtu mweusi haakiwi kufika na nilikuwa nafuata tu huduma zao.
hivi una maanisha nini unaposema tatizo sio shetani tutoe zaka? unajua zaka ni kazi sana kutoa? tena makanisa mengine tunaambiwa lazima tutoe 10% zaka na 10% sadaka kwa kila hela unayopata hata kama umeokota. Yani kama basic yako ya salary ni 1,000,000 unatakiwa utoe 200,000 upeleke kanisani. Bado loan board 150,000 bado vat 180,000, nhif 28,000, RAAWU 18,000 vingine nimesahau. Sasa hapo ndugu yangu hiyo zaka na sadaka we unatoaga kweli?Samahani Happiness, hiyo LAMADA HOTEL iko Kigoma, Singida, Lindi, Simiyu, Pemba, Mara au mkoa upi?
we unataka Happiness akugeche, unajua unaharibu uzi wa mtu huu?Sasa mkuu hvyo vimbwanga vyako utaanza kuvisimulia lini hapa jamvini nasi tupate uhondo?
Jitahidi uwe unatoa zaka mambo yako yatanyookahivi una maanisha nini unaposema tatizo sio shetani tutoe zaka? unajua zaka ni kazi sana kutoa? tena makanisa mengine tunaambiwa lazima tutoe 10% zaka na 10% sadaka kwa kila hela unayopata hata kama umeokota. Yani kama basic yako ya salary ni 1,000,000 unatakiwa utoe 200,000 upeleke kanisani. Bado loan board 150,000 bado vat 180,000, nhif 28,000, RAAWU 18,000 vingine nimesahau. Sasa hapo ndugu yangu hiyo zaka na sadaka we unatoaga kweli?
sawa banaJitahidi uwe unatoa zaka mambo yako yatanyooka
sehemu za siri kwani hazipo mwilini.ukisema mwili mzima ina maana ni sehemu zoteMassage ya mwili mzima haiusishi, sehemu za siri.