Happinessmassagetz
Member
- Aug 18, 2016
- 47
- 26
Happiness Massage ClinicWasiliana nasi kwa
+255 (0) 715 343 161 au +255 (0) 787 343 161
JINSI MASSAGE INAVYOWASAIDIA WAGONJWA WA KIHARUSI (STROKE)
Stroke ni kushindwa kwa ghafla kwa ubongo kufanya kazi vizuri kutokana na ukosefu wa damu ya kutosha katika ubongo. Hali hii hutokea iwapo mishipa ya ateri(mirija ya damu) ambayo hupeleka damu katika ubongo ikipasuka au kuzuiwa kwa sababu mbalimbali....
Matatizo ya Ubongo au hata Kifo kinaweza kutokea kama hatua za awali hazikuchukuliwa ili kuokoa hali ya mgonjwa, kwa kuwa ubongo hauwezi kuendelea kufanya kazi bila ya damu ya kutosha yenye virutubisho.
Kama hatua za kumsaidia Mgonjwa hazitachukuliwa Mapema Matatizo yafuatayo mara nyingi hutokea kwa mgonjwa.
*Kiharusi (Kupooza viungo au hata mwili mzima)
*Misuli dhaifu
*Maumivu makali ya viungo
*Uchovu wa homa
*Simanzi
*Kupoteza kumbukumbu
*Woga wa kupita kiasi
*Kupoteza uwezo wa kuongea
*Kupoteza uwezo wa Kutembea au Kujongea kwa viungo, Hali hii husababishwa na misuli kuwa dhaifu kutokana na mzunguko duni wa damu mwilini.
Msaada wa Massage kwa Wagonjwa wa Kiharusi (Stroke)
Massage ina msaada mkubwa kwa mgonjwa wa Kiharusi ( stroke). Massage humsaidia mgonjw a wa stroke kama ifuatavyo.
1.Massage huboresha kujongea kwa Viungo
Mgonjwa wa Kiharusi (Stroke) hupoteza uwezo wa kujongea kwa viungo kama vile mikono na miguu kutokana na misuli dhaifu. Hivyo Massage huondoa sumu na takataka katika misuli na kurejesha nguvu yake, Pia huamsha Neva za fahamu na hivyo kuongeza mwitiko wa vichocheo (joto, mguso n.k.)
2. Massage huboresha Mzunguko wa Damu mwilini.
Tatizo kubwa/ Sababu kubwa inayopelekea Kiharusi (Stroke) ni Munguko duni wa damu. Mara nyingi watu wenye Kiharusi (Stroke) huvimba miguu au mikono, hali hii husababishwa na mrundikano wa asidi (lactic acid) kwenye misuli ambayo ni matokeo ya Ukosefu wa damu safi yenye oksijeni ya kutosha. Massage husaidia kuboresha mfumo wa mzunguko wa Damu mwilini na hivyo kufanya sehemu zote za mwili zifikiwe na Damu safi na yenye virutubisho.
3. Massage humuondolea Maumivu mgomjwa wa stroke.
Kutokana mzunguko duni w adamu mwilini humfanya Mgonjwa wa Kiharusi (Stroke).
Ajihisi mchovu, kulala sana , pumzi fupi na za taratibu na huongea kwa utaratibu (kwa shida). Hali hii husababishwa na Viungo mbalimbali mwilini kushindwa kufanya kazi ipasavyo kutokana na mzunguko duni wa damu mwilini.
Happiness Massage Clinic Tumekusudia Kuwaondoa Watanzania katika tatizo hili, Unashauriwa Kuchukua hatua za Haraka Kumpatia Njia sahihi za Kumsaidia Mgonjwa wa Stroke. Tunatumia mbinu za kisasa na virutubisho vya kuondoa tatizo la Kiharusi.
Karibu Happiness Massage Clinic Tukuhudumie
Tunapatikana Lamada Hotel, Ilala DSM Mkabala na Barabara ya kigogo.
Wasiliana nasi kwa