Papupi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,029
- 3,245
Kusini ungujaSamahani Happiness, hiyo LAMADA HOTEL iko Kigoma, Singida, Lindi, Simiyu, Pemba, Mara au mkoa upi?
Kusini ungujaSamahani Happiness, hiyo LAMADA HOTEL iko Kigoma, Singida, Lindi, Simiyu, Pemba, Mara au mkoa upi?
Tena language yake sio persuasive, dah 'hakuna' angesema. Samahani kwa bahati mbaya hiyo huduma haipo kwa sasa, hata hivyo massage zetu ni kwa afya pekee'
Sasa mura HAKUNA si km unaamrisha platoon![]()
Wakati wa kufanyiwa massage kuna huduma nyingine ya ziada mdada anaweza kukupatia? Ambayo huwezi kuitangaza hapa ? Au ni pm jibu la swali langu.
Kama ipo leo nitakuja hapo lamada.

Basi bakini na mihuduma yenu gadem,Hakuna happy ending, Hakuna huduma za ziada za siri, Massage zetu ni kwa ajili ya kuboresha afya.
Basi bakini na mihuduma yenu gadem,kwanza hakuna pesa ya kuchezea siku hizi.Hakuna happy ending, Hakuna huduma za ziada za siri, Massage zetu ni kwa ajili ya kuboresha afya.
Sio yeye mtoa mada ndo anatisha usipoomba samahani anaweza kukujia na jibu ukahisi umenyongwa na kitu chenye bapa kalihahaha we mutu wewe........... eti Samahani Happiness umetisha yani kuuliza swali tu unaomba samahani
Swali zuri sana hili...!!!Magonjwa ya zinaa yanatibiwa kwa massage ??? Umekosea kuandika ama ni mimi ndio sielewi? ? Embu nifafanulie nielewe mkuu.
Kuna mambo hawezi kuyaweka waz hapa,ww nenda fedha haijawah kushindwa kwa loloteUshanipoteza,nimegairi kuja afu we mbabe sana.
Sawa mkuu naona umemsaidia kujibu ki greet thinker.Kuna mambo hawezi kuyaweka waz hapa,ww nenda fedha haijawah kushindwa kwa lolote
Iko chakechake pemba.Samahani Happiness, hiyo LAMADA HOTEL iko Kigoma, Singida, Lindi, Simiyu, Pemba, Mara au mkoa upi?