Karibu Gardaworld Security kwa huduma za ulinzi

Karibu Gardaworld Security kwa huduma za ulinzi

Mimi niliwapa kazi ya kulinda eneo langu la biashara Hawa Garda world security. Nilichogundua hawa watu wanawanyonya saana wafanyakazi wao.

Imagine kampuni kwa Sasa Ina wafanyakazi zaidi ya 50000 hawa Ni active duty na Wana malindo ya diplomatic yaani malindo yenye hadhi ya kibalozi ambayo mwenye kampuni analipwa zaidi ya 1,000,000 kwa kila mlinzi lakini yeye anawalipa walinzi chini ya laki 4.

Fanya mahesabu ya haraka haraka Kama kila kichwa atapata faida ya 100,000 kitu ambacho kinawezekana kabisa afu zidisha na idadi ya wafanyakazi ambao Ni 50000.

50000×100000= 50,000,000,000

Kwa mwezi mmoja kampuni ya Garda ina uwezo wa kuingiza net profit ya billion zaidi ya 50. Mega profit hii ya hali ya juu saana.

Unajiuliza na mafaida yote Hawa watu mbona wanawanyonya saana wafanyakazi wao? Jibu Ni Greedy.. matajiri wakubwa wana tamaa saana ya kupata kingi zaidi kila siku.

Garda word watendeeeni haki wafanyakazi wenu ili watupe huduma Bora.
 
si umwambie tu ni laki 3 kwa guard kabla ya makato.

makato ni nssf, PAYE ndipo inabaki 280k

mwambie pia ukikosa kazini bila taarifa (absent) unakatwa 12,500

mwambie kila kitu ili aje akiwa yuko informed
Kwani wakati wa kuanza kazi kuna form labda ama mkataba unajaza?
I mean kwa Garda World
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom