Karibu Gardaworld Security kwa huduma za ulinzi

Mshahara ukoje boss

Sent using Jamii Forums mobile app
nadhani ni vyema ukatafuta kazi kwanza ndugu yangu...ukitafuta mshahala hutoupata...mshahala ata ulipwe milioni haujawahi kutosha kabisa...ila kwa kifupi wafanyakazi wa kampuni hiyo wanalipwa mshahala mzuri kuliko kampuni yoyote ya ulinzi Tanzania...na mishahala yao hutofautiana kulingana na project husika...
 
1588098140308.png

unapoizunguzia garda unazungumzia kampuni kubwa yenye kujari na yenye wafanyakazi wazuri ambao wana mafunzo maalum ya kupambana na kila aina ya uarifu..kwa sasa kampuni hii inaongoza afrika mashariki....hapo makamanda wakiwa kwenye mazoezi yao ya kawaida.

1588098467107.png

kuna vifaa vya kisasa vya vya ulinzi...kama picha inavyojieleza hapo juu...
1588098416878.png

kikubwa ni kuwa lazima upate mafunzo kwenye kampuni hii ukifuzu unapata kazi...hiyo inazihirisha kuwa wanaajili vijana bora ambao wamepitia kwenye mchujo katika upatikanaji wao...tofauti na makampuni mengine ambayo awazingatii ubora wa vijana wao...
 
Mshahara kwa hao vijana wetu (mgambo) ni TZS 120k au siku hizi mmeongeza kidogo.?
 
nadhani ni vyema ukatafuta kazi kwanza ndugu yangu...ukitafuta mshahala hutoupata...mshahala ata ulipwe milioni haujawahi kutosha kabisa...ila kwa kifupi wafanyakazi wa kampuni hiyo wanalipwa mshahala mzuri kuliko kampuni yoyote ya ulinzi Tanzania...na mishahala yao hutofautiana kulingana na project husika...
si umwambie tu ni laki 3 kwa guard kabla ya makato.

makato ni nssf, PAYE ndipo inabaki 280k

mwambie pia ukikosa kazini bila taarifa (absent) unakatwa 12,500

mwambie kila kitu ili aje akiwa yuko informed
 
View attachment 1433816
unapoizunguzia garda unazungumzia kampuni kubwa yenye kujari na yenye wafanyakazi wazuri ambao wana mafunzo maalum ya kupambana na kila aina ya uarifu..kwa sasa kampuni hii inaongoza afrika mashariki....hapo makamanda wakiwa kwenye mazoezi yao ya kawaida.

View attachment 1433822
kuna vifaa vya kisasa vya vya ulinzi...kama picha inavyojieleza hapo juu...
View attachment 1433820
kikubwa ni kuwa lazima upate mafunzo kwenye kampuni hii ukifuzu unapata kazi...hiyo inazihirisha kuwa wanaajili vijana bora ambao wamepitia kwenye mchujo katika upatikanaji wao...tofauti na makampuni mengine ambayo awazingatii ubora wa vijana wao...
kampuni inayoongoza duniani katika huduma za ulinzi ni G4S.

Hakuna kampuni inayonyonya kama gardaworld, lindo lenu la mgodi wa nyamongo lilikufa kwa sababu tu mliambiwa muongeze mshahara kwenda laki 5 kwa mlinzi, mkagoma! lindo likafa wakabeba G4S...

Imagine kwa kichwa kimoja kampuni inapokea milioni 2 lakini wanagoma kutoa laki 5 tu kwa mlinzi

UBALOZI WA MAREKANI PALE NAPO MMEONDOLEWA NA G4s kwa sababu kama hio ya nyamongo..

TBL Mbeya na Dar kote G4s wamebeba kwa sababu hio hio, unyonyaji...

Guys hebu wateteeni vijana wenzenu wapate maslah mazuri
 
hayo ni maneno tu...ina maana na sisi tumeinunua Zanzibar tulipo amua kuungana nao...? tukapata neno Tanzania...?
acha ubishi kijana, unatoa mifano ambayo haiendani kabisa na hoja

GardaWorld ni kampuni ya mkanada Bw Stephan

Yeye kaona ili apanue biashara yake na apunguze wapinzani basi imabidi awanunue wapinzani wake

KK security ikanunuliwa mwaka 2016

ultimate nao wakanunuliwa

japo sio vipengele vyote vimebadilika katika kuhamisha umilikishi wa hizi kampuni kwenda Garda.
 
hongera kwa kuling'amua hilo
 
kampuni inayoongoza duniani katika huduma za ulinzi ni G4S.

Hakuna kampuni inayonyonya kama gardaworld, lindo lenu la mgodi wa nyamongo lilikufa kwa sababu tu mliambiwa muongeze mshahara kwenda laki 5 kwa mlinzi, mkagoma! lindo likafa wakabeba G4S...

Imagine kwa kichwa kimoja kampuni inapokea milioni 2 lakini wanagoma kutoa laki 5 tu kwa mlinzi

UBALOZI WA MAREKANI PALE NAPO MMEONDOLEWA NA G4s kwa sababu kama hio ya nyamongo..

TBL Mbeya na Dar kote G4s wamebeba kwa sababu hio hio, unyonyaji...

Guys hebu wateteeni vijana wenzenu wapate maslah mazuri
hayo ni mambo ya uendeshaji...
 
si umwambie tu ni laki 3 kwa guard kabla ya makato.

makato ni nssf, PAYE ndipo inabaki 280k

mwambie pia ukikosa kazini bila taarifa (absent) unakatwa 12,500

mwambie kila kitu ili aje akiwa yuko informed
walikukosea nini....awa garda mbona una wabana hadi kwenye penalt...?
 
acha ubishi kijana, unatoa mifano ambayo haiendani kabisa na hoja

GardaWorld ni kampuni ya mkanada Bw Stephan

Yeye kaona ili apanue biashara yake na apunguze wapinzani basi imabidi awanunue wapinzani wake

KK security ikanunuliwa mwaka 2016

ultimate nao wakanunuliwa

japo sio vipengele vyote vimebadilika katika kuhamisha umilikishi wa hizi kampuni kwenda Garda.
Bro umeongea ukweli mtupu bila hata punje sisi kampuni nayofanyia kazi tunalindwa na hao garda na unachosema ni ukweli tena wengne unakuta wanaanza na 250k -200k bado makato hamna cha overtime wala allowance yoyote ile yani wafanyakazi wanalalamika na kuumia chini kwa chini na imagine kila mlinzi kampuni inakunja hio 2mil
 
si umwambie tu ni laki 3 kwa guard kabla ya makato.

makato ni nssf, PAYE ndipo inabaki 280k

mwambie pia ukikosa kazini bila taarifa (absent) unakatwa 12,500

mwambie kila kitu ili aje akiwa yuko informed
Uko sahihi kbsa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom