Hii dubai ukiwa angani ni mzuri dah...waarabu nomewaheshimu sana
Kuna tofauti kubwa sana...dubai wapo mbali sana...huwezi fananisha na bongo...warabu wameshaiteka dunia..Yaani kama Dar-Es-Salaam unavyoiona unapokuwa angani,tofauti sio kubwa sana aisee,kwa tumbo umeshaiona ukiwa angani Dr.Mo??