hampo humu ndani au mnaogopa?mko wp? Hasa wa degree ya water resources & irrigation engineering?
hampo humu ndani au mnaogopa?
kwa mfano umechaguliwa udsm Bed na mwingine irrigation eng wdmi nan dume?
hawawezi fanya hivyo coz kiko chini ya wizara i think .by the way tupo pamoja. Mazingira yakoje ?Nilikua na ndoto za kuingia pale coet but nimeishia getini. Irrigation eng. n water resources management pale chuo cha maji. Afu nacho si wangekifanya kua college mojawapo ya udsm wanatutamanisha kweli.
Asante mkuu. Vp tupia chochote unachodhani ni muhimu kwa siye wageni kukifahamuKarbuni me mwaka wa pili diploma water supply and sanitation eng.
teh teh teheeeeeeedume ni wa irigarion eng tena atamuoa huyo wa baed bila kipingamizi
met vp kuhusu ada zao na tarehe ya kufungua? Coz website yao iko kimya. Na je mkopo tutapata ktk hii course?Nilikua na ndoto za kuingia pale coet but nimeishia getini. Irrigation eng. n water resources management pale chuo cha maji. Afu nacho si wangekifanya kua college mojawapo ya udsm wanatutamanisha kweli.
hampo humu ndani au mnaogopa?
met vp kuhusu ada zao na tarehe ya kufungua? Coz website yao iko kimya. Na je mkopo tutapata ktk hii course?
Tuombe MUNGU iwe hivyo.mkopo lazima upatikane hii kozi ni sawasawa na ile ya SUA
mko wp? Hasa wa degree ya water resources & irrigation engineering?
dogo nakuheshimu 7bu someone hinted that you attended TBR school. Ningekutoa shoo. Nimesoma pale miaka 6 usiangushe shule ile.haijawah kutoa kituko.nimefuata aina ya kozi cjafuata jina la chuo. Nataka nikimaliza niitwe engineer. Ww utaitwa nani? Nimeangalia future ya irrigation naona ipo na ni eneo ambalo ntatoe mchango wangu vzuri ktk ujenzi wa taifa langu ipo damuni. Naheshimu machaguo ya wengine ukiwemo ww mdogo wngu. By the way mi ni kakako mkubwa sn .Pole sana kwa kuchaguliwa kusoma kwenye taasisi na sio chuokikuu

Kimya sana mkuu labdaDuh,kuna mwenye tetes zozote kuhusu kufungua chuo kwa wale wa Degree? Maana kimya kizito ktk web yao.