Shemeji wa mkopo samahan bhan nilikuwa huko REPUBLICA DE MAKONDE LAND, hakuna umeme kwa mwezi sasa, kasimu ka mchina kana zingua, sasa nipo mjini!
Nimeshakribia, dadangu
FP sijawasiliana naye kitambo kidogo, ila najua humwezi coz shem wangu orijino anampa tender loving care, ila nimeumia kwa kushindwa kunialika pamoja na my wife
Preta.