Karibu Bukoba

KAGERA ROAD inaunganisha ma-jiji ya Bukobà na Kampala. Kushoto unaingia kiwanda cha sukari na kile cha kahawa kipo kulia

Yoooooooo Kaziroooooo KUMBE BUKOBA NI JIJI iweee sikujua kwa kweli, wakora kuniambia
 
Bukoba mnavyothamini mikungu ya ndizi hadi ndani ya makanisa mmepanda na hapo barabarani nilitegemea nikute mkungu wa ndizi katikati
 
Nliwah pita hii mahali, ni Canada!!, barrie, ontario, Toronto,inaitwa highway 400,ukute wakati wa snow ama mvua kali, inajaa kama ubungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…