Ila huyo aliyekupiga mikwara ndo kanichekesha πππHizo za kwenye ule uzi hazihusiani wala na hiyo mikwara.
Ule mkwara naona ni mimi kucheka na Mr Mang'ombe πππ
Na alikuwepo anachat jukwaani humu..kisa mtu anagombana naye huko basi anataka kila mtu amaninie mang'ombe jamani.
Sielewi hata sababu nini,napokea vitisho eti niache ujinga...sasa sijui hapo nani ni mjinga.
Ule uzi bhana weee
Ngoja Cocastic shos mwamba wa miamba,Warumi wetu wa group atakuletea umbea.
Zipo za kutosha ushindwe wewe πππMimi nataka zawadi zangu za huko baecationπ€£
maandamano ya hatua mbili mie staki kabisaπ€£π€£π€£π€£ Hebu niache kwanza umefanya nicheke hiyo stakishari post to stakisharipost
Yaani acha tuIla huyo aliyekupiga mikwara ndo kanichekesha [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa tusicheke watu wa Mungu tunune midomo inuke?! Akwendree zake akafie mbele uko
Na huo uzi unaonekana ulikuwa moto sana?!! Haya mnipe hata intro bac
Wee udugu cocastic njoo nasikia ww ndio umerithi mikoba ya warumi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmmmmmmmh am worried π€π€π€π€ and worry is intelligence ππππMama yangu mpendwa sana Joannah me sio laghai,
hapana, hiyo nakataa kabisa na wala usiwatie hofu na kuwapotosha wapendwa katika Yesu....
Mini ni The Mission from the Living God...
Mungu akubariki sana mpendwa π
Shangazi Mimi ni mwerevu,na sijaandika ujinga maana huko shule sijasomea ujinga,Mimi ni mwanazuoni ninaelewa ninachoandika na ninachomaanisha....ujinga ni kumkosoa na kumrekebishia Mtu maandishi yake bila kumuuliza alichomaanisha......Hao waliobadilisha wamesomea ujinga huko mashuleni maana walitakiwa kabla ya kubadilisha waniulize nilimaanisha nini wao wanekurupuka...Kaandike kitabu chako au makala yako kwenye gazeti. hapa upo JF.
Mwemye kujuwa uandishi haandiki ujinga na akielekezwa anakuwa msikivu.
Maona umebadili. Nipe japo ahsante.
Yes! Lamomy ni Cute wife,ni mke wa Country wizzo,ila aliyefungua Uzi ni Mimi dada yake,Kwa kuwa nimefurahi amerudi....halafu mbona wewe Huwa hupigwi ban,mbona na wewe mdomo wako umechachuka sanaπππSasa nimeambiwa kuwa eti huyu bi dada amejifungulia uzi mwenyewe eti yeye ni qute wife
Hebu check 1Pet:3:13-18 ikupe ujasiri na uondokane na iyo hofu lakini zaburi:23 ikutegemeze zaidi Mama yangu mpendwa sana...Mmmmmmmmh am worried π€π€π€π€ and worry is intelligence ππππ
Mishangazi pambe sioMishangazi Kwa Raha zetu mtuwacheeeπ€£π€£π€£π€£
Wewe usiniombe ubaya halafu jibu swali langu tafadhaliYes! Lamomy ni Cute wife,ni mke wa Country wizzo,ila aliyefungua Uzi ni Mimi dada yake,Kwa kuwa nimefurahi amerudi....halafu mbona wewe Huwa hupigwi ban,mbona na wewe mdomo wako umechachuka sanaπππ
HahahahahaMishangazi hatuana mbambamba
Acha janja janja nataka uzi wangu wakunipongezaMbona nimekujibu maua wangu?eeeh niulize Tenaπππ