Huyo ni mke halali wa CountrywideMwambi kabisaaa bado sijaoa
Countrywide anawake wawili naowajua achilia mbali ile mishangazi yakeHuyo ni mke halali wa Countrywide
Umbea tu,hao unaowajua wewe ni ma X....Countrywide anawake wawili naowajua achilia mbali ile mishangazi yake
Unampoteza mrembo hv hv ujue,mwamba juzi kafumaniwa kachezea za kutosha ndo maana now kalalaUmbea tu,hao unaowajua wewe ni ma X....
Get some aspring amigo check on thread cartegory dont kaza your skullJf is slightly dfn with fb...
Picha?Jamaniiiiii my baby Sisy is back....
Nilikumiss sana mdogo wangu,Mwehu wangu, welcome back my lovely Sisy, ur such a beautiful soul...Kwa mtazamo wa nje una mapepe mengiiiii ila in reality una Moyo wa dhahabu, ......walio karibu na wewe watashuhudia hili,juzi niliona I'd mpya imechangamka inaitwa black flowers nikajua ni wewe,nikamcheck fastaaa PM,I was so disappointed baada tu ya salam nikapata jibu"Mimi sio cute wife"🙄🙄🙄🙄🙄🙄nikamwambia sawa nikandoka kinyongeee,yaani I was surprised kajuaje namtafuta lamomy🤣🤣..... Welcome back kipenzi,am sure shostisto wako Missy Gf atakuwa anachekelea maana alikuwa kapooza kama ndegere mjane .. Karibu Tena beautiful,ila punguza wenge,usipigwe Tena ma ban yasiyo na lazima usiwe kama mndewa Extrovert 😅,..Am happy umerudi dogoake😘
Jumatatu hii tukapige kazi ..asubuhi asubuhi waachie wadada wakaribiishaneHuu uzi ni wawanawake, All men Let's get outta this thread!
Faidika na darsa la FaizaFoxy:Jamaniiiiii my baby Sisy is back....
Nilikumiss sana mdogo wangu,Mwehu wangu, welcome back my lovely Sisy, ur such a beautiful soul...Kwa mtazamo wa nje una mapepe mengiiiii ila in reality una Moyo wa dhahabu, ......walio karibu na wewe watashuhudia hili,juzi niliona I'd mpya imechangamka inaitwa black flowers nikajua ni wewe,nikamcheck fastaaa PM,I was so disappointed baada tu ya salam nikapata jibu"Mimi sio cute wife"🙄🙄🙄🙄🙄🙄nikamwambia sawa nikandoka kinyongeee,yaani I was surprised kajuaje namtafuta lamomy🤣🤣..... Welcome back kipenzi,am sure shostisto wako Missy Gf atakuwa anachekelea maana alikuwa kapooza kama ndegere mjane .. Karibu Tena beautiful,ila punguza wenge,usipigwe Tena ma ban yasiyo na lazima usiwe kama mndewa Extrovert 😅,..Am happy umerudi dogoake😘
Shangazi huko shuleni ulienda kusomewa ujinga?Faidika na darsa la FaizaFoxy:
Kwa msamiati wa "slang" wa Kingereza "sisy" ni mwanamme mwenye mambo ya kidada (shoga).
Hapa unamuongelea mdogo wako wa kiume ambae ni "sisy"? Au wa kike ambae ni "sis"?
Huwa sikisii.Shangazi huko shuleni ulienda kusomewa ujinga?
Sisy wangu ni wa kike..
Kwa maana nyingine amejianzishia Uzi anajielezea yeye mwenyewe sijasema Mimi lakiniFaidika na darsa la FaizaFoxy: